Jana February 1 ilikuwa tukio jingine zuri kwenye burudani Dar es Salaam, kwa mara ya pili tulishuhudia wakali na wakongwe wa Hiphop Bongo, WATEULE wakiangusha bonge la show Club 71, Tegeta Dar es Salaam.
Hili lilikuwa tukio la kihistoria, kuwakutanisha wakali hao kwa mara nyingine kwenye stage moja ndani ya 2015 ambapo safari hii ilikuwa wakiazimisha miaka 15 ambapo fans walipata nafasi ya kuenjoy ngoma kibao za mastaa wa kundi hilo.
Mastaa wengine waliokuwa na mastaa hawa ni pamoja na MTo The P, Dayna, na Mansuli.
Hapa kuna pichaz zote kutoka kwenye show hiyo.
No comments:
Post a Comment