Mwigizaji mkongwe wa sinema za kibongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’
amefunguka kuwa anasubiri kwa hamu usajili wa fomu ukamilike ili aweze
kugombea tena uongozi wa Klabu ya Bongo Movie.
Akizungumzia ndoto zake ndani ya Club hiyo, Dk. Cheni aliweka wazi kuwa ameanza kuona ndoto zake za kuiongoza klabu hiyo zitatimia kwa asilimia fulani kama ambavyo alikuwa akitamani kuwa kiongozi kwa muda mrefu.
“Niko tayari na nitagombea tena uongozi kwa nafasi ya uenyekiti, sasa hivi ninachosubiri ni usajili tu ukikamilika na mambo yatakwenda sawa kwani nimejipanga vya kutosha kuongoza,” alisema Dk. Cheni.

No comments:
Post a Comment