ROMA MKATOLIKI AJIOPOLEA TOTO LA KITANGA NA KUMUOA - LEKULE

Breaking

10 Apr 2016

ROMA MKATOLIKI AJIOPOLEA TOTO LA KITANGA NA KUMUOA



Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.
roma 5
Roma 4
Roma 2
February 2016 kwenye send-off Roma Mkatoliki akisindikizwa na mshkaji wake Kala Jeremih.
February 2016 kwenye send-off Roma Mkatoliki akisindikizwa na mshkaji wake Kala Jeremih.

No comments: