Full Time ya Yanga vs AlAhly uwanja wa taifa Dsm April 9 2016 - LEKULE

Breaking

10 Apr 2016

Full Time ya Yanga vs AlAhly uwanja wa taifa Dsm April 9 2016



Ni mechi nyingine kati ya mechi zilizotazamwa sana au zilizosubiriwa sana na mashabiki wa Tanzania ambapo Yanga walikutana na AlAhly kwenye muendelezo wa headlines za CAF, game ikapigwa uwanja wa taifa ambapo mpaka Half Time mchezo ulikua 1-1.
Mpaka Full Time mechi ikasoma vilevile 1-1 ambapo goli la kwanza liliingia dakika ya 9 AlAhly walilipata kupitia kwa Gamal na dakika ya 19 goli la kujifunga Yanga wakalipata kupitia kwa Hegazy.

No comments: