Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliangalia vijana wa kikundi cha
sanaa cha Tanga kwanza alipowasili Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga kwa ajili
ya kuzungumza na Wanachama wa Chama hicho leo March 01, 2016. Makamu wa
Rais amekamilisha ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Tanga.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga wakimsikiliza Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokua akizungumza nao katika Ofisi
ya CCM Mkoa Tanga. Makamu wa Rais amekamilisha ziara ya kikazi ya siku
mbili Mkoani Tanga leo March 01.2016.
Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na vijana wa kikundi cha
wasanii cha Tanga kwanza alipokua akiondoka katika Ofisi ya Chama cha
Mapinduzi CCM Mkoa Tanga baada ya kuzungumza na Wanachama wa Chama
hicho leo March 01, 2016. (Picha na OMR)
Chipukizi
wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa Tanga Mwanakombo Mwakuru akimvisha Skafu
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili Ofisi ya CCM
Mkoa wa Tanga kwa ajili ya kuzungumza na Wanachama wa Chama hicho leo
March 01, 2016. Makamu wa Rais amekamilisha ziara ya kikazi ya siku
mbili Mkoani Tanga. Kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Mhe.Henri
Shikifu.
Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanachama wa Chama
cha Mapinduzi CCM Mkoani Tanga katika Ofisi ya CCM Nkoa Tanga. Makamu wa
Rais amekamilisha ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani Tanga leo March
01,2016.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga wakimsikiliza Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokua akizungumza nao katika Ofisi
ya CCM Mkoa Tanga. Makamu wa Rais amekamilisha ziara ya kikazi ya siku
mbili Mkoani Tanga leo March 01.2016
No comments:
Post a Comment