March 29 2016 Rais Magufuli ametua kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza na kukutana na viongozi wa Mwanza pamoja wananchi wake waliokuwa Airport ya Mwanza, kingine alichokifanya ni kwenda kwenye mgahawa wa kawaida kabisa uliopo pembeni ya Airport na kutoa ofa ya vinywaji kwa Wananchi.
p
Rais Magufuli amepita Mwanza akielekea Chato nyumabani kwao kwa mapumziko ya siku tano na baada ya hapo ataanza ziara yake ya kikazi kwenye mkoa wa Mwanza.
No comments:
Post a Comment