Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo.
Wakazi
kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa Geita,wakimsikiliza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambaye
amewasili leo mjini humo alikozaliwa.Rais Dkt Magufuli amewasili
wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu awe Rais.
No comments:
Post a Comment