Baraza
la mitihani la taifa limetoa matokeo ya kumaliza elimu ya msingi
ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 10.85 ambapo mtihani uliopita
wanafunzi walifaulu kwa asilimia 56.99 tofauti na mwaka huu ufaulu
umeongezea hadi asilimia 71.58. Tupate taarifa zaidi.
Akitoa tarifa za matokeo hayo katibu mtendaji wa baraza hil Dk.
Charles Msonde amesema jumala ya watahiniwa 518,034 katia ya 763,602
waliofanya mtihani huo wamefaulu.
Aidha katibu huyo amesema jumatatu ya wiki ijayo wanafunzi 448,358
wanatarajiawa kufanya mitahia ya kumaliza kidato cha nne kwa nchi nzima
na hivyo ameiomba jamii kutoa ushirikino wa wanafunzi kufanya mitihani
yao kwa umakini mkubwa.
No comments:
Post a Comment