Waziri Nape afanya Ziara mkoani Kagera - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 15 April 2016

Waziri Nape afanya Ziara mkoani Kagera

https://3.bp.blogspot.com/-uJhgdBbPUgA/VxCaZtUaoFI/AAAAAAAIiyM/khh_k3Hwy34Irwu-4F5we1BB2FICaj89QCLcB/s1600/IMG_8255.JPG

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akisalimiana
na uongozi wa mkoa wa Kagera baada ya kuwasili mkoani hapo akiwa kwenye ziara ya
kutembelea maeneo yanayohusu sekta za wizara, kupokea taarifa ya mkoa na
kuwapatia vitendea kazi maafisa mawasiliano wa mkoa huo.
https://3.bp.blogspot.com/-sY1IakaNPEA/VxCaZgm7ZzI/AAAAAAAIiyU/qhcnWqYwy_QCfASPS0h8IV07Xb4Wg69lgCLcB/s1600/IMG_8263.JPG

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akisaini kitabu
cha wageni mara baada ya kuwasili mkoani Kagera kwa ajili ya kufanya ziara ya
kutembelea maeneo yanayohusu sekta za wizara, kupokea taarifa ya mkoa na
kuwapatia vitendea kazi maafisa mawasiliano wa mkoa huo.Wengine pichani ni
Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bw,Jackson Msome na Kaimu katibu tawala mkoa wa
kagera Bw.Adam Mohamed Swai.
https://2.bp.blogspot.com/-nJm9nFITbj8/VxCaZiYOhnI/AAAAAAAIiyQ/R3APucUAXoQCcqUeYsuP0kaMd28sFMUKgCLcB/s1600/IMG_8270.JPG
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akikabidhi
Tablet tano kwa mkuu wa wilaya ya Bukoba Bw.Jackson Msome kwa ajili ya matumizi
ya maafisa habari wa mkoa wa kagera.Bwana Msome alikuwa akimwakilisha Mkuu wa
mkoa wa kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa kijuu.
https://4.bp.blogspot.com/-3jsyneDYg6Q/VxCaaQiN5DI/AAAAAAAIiyc/2GRaFpfNZlcADuOJXJdZRWU087FV5hzzgCLcB/s1600/IMG_8272.JPG
Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bw.Jackson Msome ambaye anamwakilisha Mkuu wa
mkoa wa kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa kijuu akitoa neno la shukrani
kwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye wakati wa ziara
ya waziri huyo katika mkoa wa kagera.
https://2.bp.blogspot.com/-5HOQ2g4u-fs/VxCaas09bKI/AAAAAAAIiyY/-OKT5_Cu3tgXyp5IV2yJfeXzr1GhxjK0wCLcB/s1600/IMG_8288.JPG


Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akizungumza
jambo na waandishi wa habari wakati alipotembelea na kujionea maendeleo ya
ujenzi wa uwanja wa Kaitaba.Uwanja huo umeshawekwa nyasi za bandia na
maboresho mengine yanaendelea.
Post a Comment