PICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka baraka zao kwenye daraja la Rusumo - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Wednesday, 6 April 2016

PICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka baraka zao kwenye daraja la Rusumo.
.
Ni safari ya kwanza ya nje ya nchi kwa Rais Magufuli toka alipoteuliwa kuwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania October 2015, kasafiri kwa gari kwenda Rwanda ambapo kwenye siku yake ya kwanza yeye pamoja na Rais Kagame wamezindua daraja la Rusumo kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda.
.
.
.
.
.
.
.
.

Post a Comment