Mwili uliozama na gari baharini ulivyopatikana Dar es salaamApril 20 2016 imeripotiwa habari ya kuzama kwa gari lililokuwa ndani ya Pantoni lililokuwa linavuka kuelelekea Kigamboni jijini Dar es salaam, gari hilo liliserereka kutoka kwenye Pantoni na kuzama baharini ambapo inasadikiwa ilikuwa na watu kati ya wawili au watatu.
Mnamo majira ya asubuhi Jeshi la zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja, mchana wa leo umepatikana mwili mwingine wa Nice Karagwe ambapo nimefanikiwa kuzinasa hizi picha.
IMG-20160420-WA0028
.
IMG-20160420-WA0025
.
IMG-20160420-WA0024
.
IMG-20160420-WA0023
.
IMG-20160420-WA0022
.
IMG-20160420-WA0021
.
IMG-20160420-WA0020
.
IMG-20160420-WA0027
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.