PICHAZ 8: Mafuriko kijiji cha Changalawe Mikumi yamemfanya Prof Jay kwenda kuwatembelea wahanga - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Tuesday, 26 April 2016

PICHAZ 8: Mafuriko kijiji cha Changalawe Mikumi yamemfanya Prof Jay kwenda kuwatembelea wahanga


Mbunge wa Jimbo la Mikumi Joseph Haule a.ka Profesa Jay April 25 2016 siku moja baada ya kupeleka msaada wa mabomba Ruaha amelazimika kwenda kuwatembelea wanakijiji wa Changalawe kata ya Masanze ambao wamepata mafuriko na baadhi ya mali zao kwenda na maji.
1
Prof Jay ameenda kuwatembelea wakazi hao ambao mazao yao yameenda na maji mashambani pamoja na nyumba zao kubomolewa na mafuriko, mbunge huyo wa Mikumi hakuishia kutoa pole tu lakini amehaidi kuwapelekea msaada ili kuwapunguzia matatizo yaliojitokeza katika mafuriko hayo.
2
3
5
6,
cvg
,kkk

Post a Comment