Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo
ya kutoka kwa Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw.
Clement Mshana (kushoto)mara baada ya kutembelea maeneo ya TBC yaliyopo
Themi na Themi Hill mkoani Arusha na kujionea mitambo ya TBC na ile
iliyokuwa ya Radio Tanzania .
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia
mitambo iliyokuwa ya Radio Tanzania kwenye nyumba iliyokuwa ikitumika
kurusha matangazo, Themi mkoani Arusha.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akionyeshwa moja
ya eneo la TBC mkoani Arusha na Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC)Bw. Clement Mshana
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungunmza na
Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw.
Clement Mshana mara baada ya kutembelea eneo la TBC lililopo Themi
mkoani Arusha,katikati ni Mkuu wa Kanda wa Shirika la Utangazaji TBC
Ndugu Christopher Mkama
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia baadhi
ya mitambo ya zamani ya kurushia matangazo iliyopo Themi Hill, Arusha
No comments:
Post a Comment