Brazili kuikabili Paraguay. - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Monday, 28 March 2016

Brazili kuikabili Paraguay.

Mechi za kufuzu fainali za kombe la dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi, zitachezwa kesho Jumanne Machi 29.
Kwa mujibu wa ratiba Colombia watachuana na Ecuador, Argentina dhidi ya Bolivia, Paraguay watakuwa wakicheza na Brazil , Venezuela watawaalika Chile na Uruguay watakuwa wenyeji wa Peru.
Na Michezo ya kirafiki ya kimataifa inatarajia kuendelea tena hii leo, Andorra itachuana na Moldova, Ukraine dhidi ya Wales, Northern Ireland ya kaskanzini na Slovenia,na hapo kesho England watakuwa wenyeji wa Uholanzi.
ubeligiji wataialika Ureno, Germany watakuwa wenyeji wa Italy , Ufaransa watakuwa nyumbani dhidi ya Urusi, na Scotland watawakabili Denmark.
ya mchezo uliopigwa jana usiku kati ya Romania na Ispania mchezo huo umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya bila kufungana.
Post a Comment