Baadhi
ya vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani
3,45000 (laki tatu arobaini na tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya
Kiislamu ya Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi ya Helping Hand yenye
makao Makuu nchini Marekani.
Wanafunzi
wa skuli ya Sekondari ya Farouk Aktas Muslim iliopo kisauni Wilaya ya
Magharibi B Unguja wakihudhuria katika Hafla ya Utoaji wa Vifaa
mbalimbali vya Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000
(laki tatu arobaini na tano Elfu)kutoka Taasisi ya Kiislamu ya
Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi ya Helping Hand yenye makao Makuu
nchini Marekani.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Salum katikati akipata maelezo kwa
Muakilishi wa Taasisi ya Helping Hand Mohammad Habibu kuhusiana na Vifaa
mbalimbali vya Hospitali vyenye Thamani ya Dola za kimarekani 3,45000
(laki tatu arobaini na tano Elfu)vilivyotolewa na Taasisi ya Kiislamu
ya Muzdalifat kwa kushirikiana na Taasisi yake yenye makao Makuu nchini
Marekani.hafla iliofanyika Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Katibu
Mtendaji wa Taasisi ya Muzdalifat Farouk Hamadi akitoa hotuba ya
kumkaribisha Mgeni rasmi katika Hafla ya kutoa Vifaa mbalimbali vya
Hospitali iliofanyika Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Naibu
katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Salum akikabidhiwa Vifaa mbalimbali
vya Hospitali vyenye thamani ya Dola za Kimarekani 3,45000 (laki tatu
Arobaini na Tano Elfu) na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Muzdalifat
Farouk Hamadi.wa kwanza kushoto ni Muakilishi wa Taasisi ya Helping Hand
yenye makao makuu Nchini Marekani Mohammad Habibu.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Salum akitoa hotuba baada ya kupokea
Vifaa mbalimbali vya Hospitali vyenye thamani ya Dola za Kimarekani
3,45000 (laki tatu Arobaini na Tano Elfu) vilivyotolewa na Taasisi ya
Muzdalifat Kisauni Wilaya ya Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment