Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
amekuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Ligi ya Mpira wa Kikapu
inayofahamika kama Junior National Basket Association (JR.NBA), ufunguzi
ambao umefanyika jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumzana na wadau mbilimbali wa mpira wa kikapu (NBA) juu ya Timu
bora nane kutoka kila kundi zitakazofuzu kushiriki kweye ngazi ya
mitoano Oktoba 2016. Timu bora mbili kutoka kila kundi zitakutana
kwenye michezo kuwania ubingwa ili kumpata Bingwa wa kwanza wa ligi ya
mpira wa kikapu kwa vijana, katika uzinduzi wa Ligi ya Mpira wa kikapu
ya vijana,jana jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete
akizinduwa Ligi ya Mpira wa kikapu ya vijana (Junior NBA),jana jijini
Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali, jana jijini Dar es
Salaam.
Rais
Mstaafu DKT. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mchezaji Mwandamizi
wa (WNBA) Allison Feaster, jana jijini Dar es Salaam
Sehemu ya
mashabiki wa Mpira wa kikapu walio fika katika uzinduzi wa Ligi ya
Mpira wa kikapu ya vijana,jana jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment