Tazama Hapa Matokeo ya Kidato cha Pili 2015/16 - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 15 January 2016

Tazama Hapa Matokeo ya Kidato cha Pili 2015/16

Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.

Post a Comment