Majaliwa atoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria wa Bunge - LEKULE

Breaking

27 Jan 2016

Majaliwa atoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria wa Bunge

IMGS0883
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa  aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda  nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
IMGS0893
Waziri  Mkuu  Kassim Majaliwa akiwapa pole wafiwa  baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016.
IMGS0879
Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika ibada ya kumwombea aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, maerehemu Oscar Mtenda iliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS0881

No comments: