JK ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA MAHUSIANO YA KIMATAIFA OUT - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 22 January 2016

JK ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA MAHUSIANO YA KIMATAIFA OUT

kk1
Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ( Kulia) akifatilia kitabu cha maafali ya 30 ya Chuo kikuu Huria Tanzania yaliyofanyika Jijini jana Dar es Salaam kushoto ni Prof Suh Chae-Hong Rais wa Chuo cha Chosun kilichopo Korea ya Kusini
kk2
Maandamano ya wanataaluma  katika  Mahafali ya 30 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam.
kk3
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania Dkt Asha Rose Migiro akifungua rasmi mahafali ya 30 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam
kk4

Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania Dkt Asha Rose Migiro akimtunuku Shahada ya ya heshima ya udaktari wa falsafa ya mahusiano ya kimataifa Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika  maafali ya 30 ya Chuo kikuu Huria Tanzania yaliyofanyika jana Jijini  Dar es Salaam.
Post a Comment