Waziri
wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba ametoa masaa 48
kuanzia jana kwa kampuni ya Sparkway ltd kuwalipa wakulima wa korosho
wa Mkoa wa pwani, kiasi cha Bilioni 3.4 za mauzo ya korosho.
Kufuatia agizo hilo,Wakulima waliouza Korosho wataanza kulipwa jumatatu ya Desemba 21, mwaka huu.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo
Mwigulu Lameck Nchemba wakati akizungumza mkoani Pwani jana.
No comments:
Post a Comment