Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la
Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya
Ilala, Raymond Mushi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na umati ulioshiriki katika kufanya
usafi kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015.
Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Waziri
Mkuu,Kassim Majliwa akiwa amezongwa na wananchi wakati alipokwenda
kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam kufanya usafi Desemba
9, 2015.
Baadhi
ya washiriki wa zoezi la usafi kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar
es salaam wakipiga picha kwa kutumia simu wakati Waziri Mkuu, Kasim
Majaliwa alipozunguza nao baada ya kufanya usafi sokoni hapo Desemba 9,
2015.
Gari
alilopanda Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa likitoka kwenye eneo la soko kuu
la Kariakoo alikokwenda kushiriki katika kufanya usafi Desemba 9,
2015.
No comments:
Post a Comment