Wananchi,
Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito
wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama
waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi
hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya.
Mkazi wa Jiji la Mbeya akitimiza wajibu wa kuweka Mazingira Safi katika Eneo lake.
Mama nae akiweka Mazingira safi katika Eneo lake...
Mitaa
Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano
juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi nzima kwa siku hii ya leo
No comments:
Post a Comment