Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akipokea zawadi ya
Ua kutoka kwa Mtumsihi wa Wizara hiyo, Veronica Mwafisi wakati Katibu
Mkuu wa Wizara, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akiwaongoza Watumishi wa
wizara yake kumpokea rasmi Waziri huyo alipokuwa anawasili wizarani hapo
kuanza kazi leo
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi (D/IGP), Abdurahman Kaniki wakati Waziri
huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi.
Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha
watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia
Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, wakati
Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi.
Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil
akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkuu
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali Pius Makuru
Nyambacha, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa
ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak
Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa
(kulia) wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili
ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil
akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimsalimia
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson
Maimu wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya
kuanza kazi. Wapili Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak
Abdulwakil ambaye aliwaongoza watumishi wa wizara yake kumkaribisha na
kumtambulisha kwa watumishi, Waziri Kitwanga wizarani hapo. Wapili kulia
ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, John Mngodo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria wa wizara hiyo, Marlin Komba, wakati
Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi.
Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil
akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia
Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Ernest Malugu,
wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya
kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil
akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akiwa ofisini kwake mara
baada ya kukaribishwa rasmi wizarani hapo kuanza kazi. Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Mbarak Abduwakil aliwaongoza watumishi wa wizara yake
kumkaribisha Waziri huyo mpya wa wizara hiyo. Picha na Kitengo cha
Mawasiliano-MOHA
No comments:
Post a Comment