Taasisi ya Neema Institute
Of N.G.O Management, inatangaza
nafasi za kushiriki
katika semina za
ujasiriamali kwa watu
wote. Mafunzo yatakayo tolewa pamoja
na gharama yake, ni kama
inavyo onekana hapo chini.
Neema Institute Of N.G.O Management
P.O.Box
35967,Dar Es Salaam. Mobile : + 255 765 10 30 80
E.mail : neemainstitute@gmail.com
Website : www.neemainstitute.blogspot. com
SEMINA YA UJASIRIAMALI
No
|
Somo
|
Muda
|
Ada
|
1.
|
UANZISHAJI,UENDESHAJI
NA USIMAMIZI WA MASHIRIKA
YASIYO KUWA YA KISERIKALI
·
Uanzishaji, uendeshaji na usimamizi wa
mashirika yasiyokuwa ya kiserikali.
·
Uanzishaji, Uendeshaji na Usimamizi wa
miradi ya maendeleo ya mashirika yasiyo
kuwa ya Kiserikali
·
Uanzishaji,uendeshaji na usimamizi wa vyanzo
vya mapato ya mashirika yasiyo kuwa ya
kiserikali
|
WIKI TATU
|
ELFU THEMANINI
(Tshs.80,000/=)
|
2.
|
UANZISHAJI & UENDESHAJI WA VIWANDA VIDOGO
·
Uanzishaji, uendeshaji na usimamizi wa
viwanda vidogo vidogo vya
usindikaji
·
Uanzishaji, uendeshaji
na usimamizi wa
vyama vya wasindikaji.
·
Usindikaji wa bidhaa zitokanazo
na maziwa ya n’gombe :
·
Siagi ( Butter )
·
Jibini ( Cheese )
·
Samli (Ghee )
·
Yogati
·
Usindikaji na
utengenezaji wa juisi za matunda mbalimbali
kama vile machungwa, mananasi, maembe nakadhalika.
·
Utengenezaji na usindikaji wa jam ya
matunda mbalimbali kama vile mananasi,
maembe nakadhalika
·
Usindikaji na utengenezaji wa wine za
matunda ya aina mbalimbali kama vile; ndizi,
nanasi,embe,rosella nakadhalika
·
Uandaaji, utayarishaji
na Usindikaji wa
lishe za aina
mbalimbali.
|
WIKI MBILI
|
ELFU SITINI
(Tshs.60,000/=)
|
3.
|
UANZISHAJI,UENDESHAJI
NA USIMAMIZI WA VITUO VYA
HUDUMA YA MASAJI
NA UKARIMU KWA
WAGENI.
·
Uanzishaji, uendeshaji
na usimamizi wa vituo
vya kutoa huduma
ya masaji· Uanzishaji, Uendeshaji na Usimamizi wa vituo vya huduma ya ukarimu ( Hospitality ) kwa watalii na wageni wa ndani na nje ya nchi. · Uanzishaji, uendeshaji na usimamizi wa Taasisi za kutoa huduma ya masaji na ukarimu kwa watalii na wageni wa ndani na nje ya nchi. |
WIKI MOJA
|
ELFU SITINI
(Tshs.60,000/=)
|
4.
|
UANZISHAJI, UENDESHAJI
NA USIMAMIZI WA
VITUO VYA ELIMU NA
MAFUNZO.
( Private
Candidate Centers )
|
WIKI TATU
|
ELFU SITINI
(Tshs.60,000/=)
|
5.
|
UANZISHAJI NA
UENDESHAJI WA GAZETI, JARIDA NA
UANDISHI WA VITABU.
|
WIKI MBILI
|
ELFU SITINI (Tshs.60,000)
|
6.
|
KILIMO NA UFUGAJI BORA
|
WIKI NNE
|
ELFU THEMANINI (Tshs.80,000/=)
|
TAREHE YA
KUANZA MAFUNZO :
Mafunzo haya, yataanza rasmi
tarehe 04 JANUARI 2016 jijini
Dar Es Salaam.
FOMU
za kujiunga na
mafunzo haya, zinapatikana ofisini
kwetu kwa gharama ya
SHILINGI ELFU KUMI NA
TANO tu (Tshs.15,000/=)
Ofisi
zetu zipo Ubungo, Dar
Es Salaam, jirani na
Shule Ya Msingi
Ubungo National Housing, nyuma ya jingo
la
Ubungo Plaza.
MWISHO WA
KUCHUKUA FOMU : Mwisho wa
kuchukua fomu ni
tarehe 30 DESEMBA
2015 saa nane kamili
mchana.
KWA WAOMBAJI
WA MIKOANI :
Kwa waombaji wa
mikoani, mafunzo haya yatatolewa
kwa njia ya
VITABU na DVD.
UPATIKANAJI WA
FOMU KWA WAOMBAJI WA
MIKOANI :
Kama upo nje ya
mkoa wa Dar
Es Salaam, na unahitaji
kushiriki katika mafunzo
haya kwa njia
ya VITABU na DVD. Andika barua
pepe ( email ) ya maombi
ya fomu ya
kujiunga katika mafunzo haya, kupitia barua
pepe yetu : neemainstitute@gmail.com
. Maombi yaelekezwe
kwa Mkurugenzi Mtendaji,
Neema Institute Of
N.G.O Management, S.L.P 35930, Ubungo, Dar Es Salaam.
Kwa
maelezo zaidi wasiliana nasi
kwa simu namba
0765 10 30
80 au tutembelee :
No comments:
Post a Comment