Aliyekuwa
mgombea ubunge Jimbo la Ubungo (CCM), Dk. Didas Masaburi jana ameifuta
kesi ya uchaguzi ya kupinga ushindi wa Mbunge, Saed Kubenea.
Maombi
ya kufutwa kwa kesi hiyo yaliwasilishwa mahakamani hapo na wakili
wake Clement Kihoko ambapo mahakama hiyo chini ya Jaji Lugano Mwandambo
ilimwamuru Masaburi kulipa nusu ya gharama za kesi kwa mlalamikiwa(
Kubenea)



No comments:
Post a Comment