Bosi wa Timu Rayo
Vallecano Paco Jemez amesema Timu yake ilifedheheshwa na kudhalilishwa
ilipobamizwa Mabao 10-2 wiki hii kwenye Mechi ya La Liga Uwanjani
Santiago Bernabeu.
Akijibu madai ya Jimenez, Kocha wa Real, Rafa Benitez, alisema: "Kuna mechi nyingi hata sisi tulionewa, hatukunufaika. Sikusema lolote wakati huo na sitasema kitu sasa.”
Ligi kuu ya Hispania kwa sasa inaenda Mapumziko ya Siku 10 kwa ajili ya sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya.
No comments:
Post a Comment