JAMANI KIUKWELI SHILOLE AMEYAHANGAIKIA MAISHA VYA KUTOSHA EBU MSIKILIZE HAPA - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Wednesday, 23 December 2015

JAMANI KIUKWELI SHILOLE AMEYAHANGAIKIA MAISHA VYA KUTOSHA EBU MSIKILIZE HAPA

Kutana na Exclusive Interview ya mwimbaji wa bongofleva ambaye anatupa stori zake zote, za jinsi alivyokuja mara ya kwanza Dar es salaam baada ya kuolewa na dereva wa Lori akitokea Igunga pamoja na ishu nyingine, tazama hizi video mbili hapa chini kunapart 1 na 2.
PART TWO YA VIDEO NDIO HII HAPA CHINI
SOURCE:MILLARDAYO.COM
Post a Comment