Mkuu wa wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipofanya kikao na viongozi wa hosptali ya rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi
mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga (kulia) akitoa
ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayotajwa kuwa changamoto kwa Mkuu wa
wilaya ya Moshi, Novatus Makunga alipotembelea hosptalini hapo.
Baadhi ya wakuu wa idara waliongozana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipofanya ziara katika hospali hiyo.
Baadhi ya wakuu wa itengo katika hosptali ya KCMC.
Mganga
mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Dkt Timoth Wonanji akichangia
jambo wakati wa kikao cha mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga
(kulia) alipokutana na viongozi wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiwa katika kitengo cha macho alipofanya ziara katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC.
Mkuu
wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akitoka kitengo cha Macho
akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Giliard
Masenga.
DC Makunga akipita katika wodi mbalimbali hosptalini hapo.
Dk
Bingwa wa magonjwa ya figo,Dkt Kilonzo akitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya
ya Moshi,Novatus Makunga alipotembelea hosptali hiyo.
Mkuu wa wilaya akizunumza jambo mara baada ya kutembelea chumba chenye
mashine ya CT -Scan katika hosptali hiyo,kulia ni mkuu wa kitengo hicho
Dkt Fatma.
Mwangalizi
wa sehemu ya kuhifadhia maiti katika hosptali ya rufaa ya KCMC,Bwana
Issa akitoa maelezo kwa Dc Makunga (hayupo pichani ) alipotemblea chumba
hicho.
No comments:
Post a Comment