| Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. |
7 Dec 2015
New
Benki ya NMB yashinda nafasi ya kwanza Tuzo za NBAA kwa mabenki Tanzania
About SOSTENES LEKULE JR
Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
KITAIFA
Tags
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment