Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Boti kuelekea katika kisiwa cha
Tumbatu kwa ajili ya kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi
mbalimbali katika ziara yao ya siku mbili ili kujenga urafiki baina yao
na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Kisiwa cha Tumbatu kwa ajili ya
kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi mbalimbali katika ziara
yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakiwasalimia wanafunzi wa madrasa na walimu
waliokuja kuwa pokea katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao ya siku
mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa
madrasa na walimu katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao ya siku
mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakipata dua kwa Mzee wa Kisiwa cha Tumbatu na
kutoa msaada wa chakula ikiwa pamoja na Mchele Unga wa ngano,Sukari na
Mafuta ya kupikia katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki
baina yao na watu wa Zanzibar.
Kiongozi
wa Wanafunzi Omar akimkabidhi Mzee wa kijiji cha Tumbatu Msaada wa
Chakula katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na
watu wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment