Katibu
Mkuu wa Wizara ya Utalii na Maliasili, Dk. Adelhelm Meru akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani juu ya Tanzania kupata nafasia hiyo
kutoka UNESCO kuwa mjumbe wa urithi wa Dunia kwa kipindi cha miaka
minne.
Nafasi hiyo ni baada ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni jijini Paris, Ufaransa Makao makuu ya UNESCO.
Mkurugenzi
Msaidizi Mafunzo na takwimu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi
Eliwasa Maro akitoa ufafanuzi wa nafasi hiyo kwa waandishi wa habari
(hawapo pichani).
No comments:
Post a Comment