Hadi sasa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imeshatangaza matokeo ya kura za urais kwa majimbo manne kati ya 54.
Majimbo
hayo ni Kwahani, Fuoni, Kiembesamaki na Malindi. Dk. Shein wa CCM
anaongoza kwenye majimbo matatu ya Kwahani, Fuoni na Kiembesamaki huku
Maalim Seif wa CUF akiongoza kwenye jimbo la Malindi.
No comments:
Post a Comment