Walichokisema Stanslaus Mabula (CCM) baada ya ushindi pamoja na Ezekiel Wenje (CHADEMA) baada ya kushindwa - LEKULE

Breaking

29 Oct 2015

Walichokisema Stanslaus Mabula (CCM) baada ya ushindi pamoja na Ezekiel Wenje (CHADEMA) baada ya kushindwa

Stanslaus Shing’oma Mabula akiongea na wanahabari usiku wa kuamkia jana Octoba 27,2015 muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM).

Ezekiel Dibogo Wenje (Chadema) akiongea na wanahabari muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa usiku wa Kuamkia jana.

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jijini Mwanza ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Titho Mahinya akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu Jimboni Nyamagana.

No comments: