Picha: Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein Ameshapiga Kura - LEKULE

Breaking

25 Oct 2015

Picha: Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein Ameshapiga Kura



Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, tayari ameshapiga kura yake kwenye Kituo cha Skuli ya Bungi kusini mwa kisiwa cha Unguja, majira ya saa moja asubuhi 

Shein  amewaambia  waandishi  wa  habari   kuwa amejipigia kura mwenyewe na ana matumaini makubwa yakushinda


No comments: