KAMANDA
wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Mohamed Mpinga
(katikati), akikabidhi Ripoti ya upimaji wa Afya za Madereva kwa Meneja
Mahusiano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Emma Oriyo, Dar
es Salaam jana, baada ya zoezi la kupima Afya za madereva lililofanyika
Mikese, mkoani Morogoro, Msata mkoani Pwani na Segera, mkoani Tanga.
Kushoto ni Kamanda wa Kikosi cha Afya cha Jeshi la Polisi, Kamishna
Msaidizi, Paul Kasabago.
KAMANDA
wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Mohamed Mpinga
(katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana,
baada ya kukabidhi Ripoti ya Upimaji wa Afya za Madereva kwa Meneja
Mahusiano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Emma Oriyo.
(Kushoto ni Kamanda wa Kikosi cha Afya cha Jeshi la Polisi, Kamishna
Msaidizi, Paul Kasabago.
Meneja
Mahusiano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Emma Oriyo,
akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana baada ya kupokea
Ripoti ya Upimaji wa Afya za Madereva kutoka kwa Kamanda wa Polisi
Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohamed Mpinga (katikati),
ambaye pia aliipokea kwa Mkuu wa Kikosi cha Afya cha jeshi hilo,
Kamishna Msaidizi Paul Kasadago (kushoto).
KAMANDA
wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamishna Mohamed Mpinga
(katikati), akionyesha Ripoti ya upimaji Afya za MAdereva, baada ya
kuipokea kutoka kwa Kamanda wa Kikosi cha Afya cha Jeshi la Polisi,
Kamishna Msaidizi Paul Kasabago, Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja
Mahusiano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).
No comments:
Post a Comment