Jana
Ijumaa ya Octoba 16,2015 Baraza Kuu la Waislamu Mkoa wa Mwanza
liliungana na Waislamu wengine kuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu ambao
ni 1437.
Kwa
kalenda ya Kiislamu sherehe hizo zilifanyika jana tarehe mbili, mwezi
Muharamu mwaka wa 1437 (02.01.1437) ikiwa maadhimisho yanayoambatana na
kumbukumbu ya Kuhama kwa Mtume Muhammad kutoka Mji wa Macca kwenda
Madina.
Katika
kuadhimisha sherehe hizo, Baraza hilo kupitia kwa Katibu wake Mkoani
Mwanza Sheikh Mohamed Balla (Kulia Pichani) alitoa tamko kwa niaba ya
Waislamu wote Mkoani Mwanza kutokana na kauli inayoelezwa kutolewa na
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima kwamba ana ndoto ya
Misikiti yote nchini kugezwa kuwa Sunday School na Masheikh watakwenda
kuangukia katika misalaba.
Alisema
kauli za namna hiyo si njema kwa mstakabali wa Taifa ambapo alisema
kuwa Waislamu wote Mkoani Mwanza wanalaani na kukemea kauli hiyo na
nyingine zote za aina hiyo na wale wanaozitoa.
Aliwataka
Watanzania kuungana kwa pamoja hususani katika kipindi hiki cha
kuelekea kwenye uchaguzi mkuu na kwamba Wamchague kiongozi muadilifu,
Mchapakazi na anaechukia rushwa ambae ataendelea kuwaunganisha watanania
wote.
Imam wa
Msikiti Khadija Jijini Mwanza Mohammed Awadhi akisoma Ibada ya Quran
katika Sherehe za Mwaka mpya wa Kiislamu ulioadhimishwa jana katika
Uwanja wa Mbugani Jijini Mwanza na kuambatana na ibada mbalimbali
ikiwemo kuliombea taifa amani.
Sheikh
Mahamood Khasan akisoma ibada ya kuliombea taifa amani katika Sherehe za
Mwaka mpya wa Kiislamu ulioadhimishwa jana katika Uwanja wa Mbugani
Jijini Mwanza na kuambatana na ibada mbalimbali ikiwemo kuliombea taifa
amani.
Imam wa
Msikiti wa Ibadhi Jijini Mwanza Nouh Othman akisoma mada juu ya mwaka
mpya wa kiislamu wa 1437 katika Sherehe zilizofanyika jana katika Uwanja
wa Mbugani Jijini Mwanza na kuambatana na ibada mbalimbali ikiwemo
kuliombea taifa amani.
Mwenyekiti
Mwenza wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Kuendeleza Quran na Sunna nchini JUQUSUTA Sheikh Hassan Kabeke
akiwasilisha mada juu ya amani katika Sherehe za Mwaka mpya wa Kiislamu
ulioadhimishwa jana katika Uwanja wa Mbugani Jijini Mwanza na kuambatana
na ibada mbalimbali ikiwemo kuliombea taifa amani.
Qaswida
Qaswida
Waumini
wa dini ya kiislamu wakiwa katika Sherehe za Mwaka mpya wa Kiislamu

wa dini ya kiislamu Mkoani Mwanza wakiwa katika Sherehe za Mwaka mpya wa
Kiislamu (1437) ulioadhimishwa jana katika Uwanja wa Mbugani Jijini
Mwanza na kuambatana na ibada mbalimbali ikiwemo kuliombea taifa amani.

wa dini ya kiislamu Mkoani Mwanza wakiwa katika ibada ya Sherehe ya
Mwaka mpya wa Kiislamu (1437) ulioadhimishwa jana katika Uwanja wa
Mbugani Jijini Mwanza na kuambatana na ibada mbalimbali ikiwemo

No comments:
Post a Comment