SHEIKH ABUBAKARY ZUBER ACHAGULIWA KUWA MUFTI WA TANZANIA - LEKULE

Breaking

10 Sept 2015

SHEIKH ABUBAKARY ZUBER ACHAGULIWA KUWA MUFTI WA TANZANIA

Wakatikati ni Mufti mpya Sheikh Abubakary Zuber ambaye amechaguliwa leo na wajumbe wa BAKWATA mkoani Dodoma kuwa Mufti wa Tanzania akichukua nafasi ya hayati Sheikh Issa Bin Simba.

No comments: