Msanii
maarufu nchini Afrika Kusini, K.O akizungumza na waandishi wa habari
hawapo pichani juu ya ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari
hasa Televisheni na Redio na kuangalia mziki wa hapa nchini katika
mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Thabiso Khati ambaye ni msimamizi wa msaniii K.O akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini.
No comments:
Post a Comment