Meneja
Mkuu wa shirika la ndege la fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati
(katikati) katika picha ya pamoja na wahudumu 12 (wenye sare) wa ndege
hiyo waliohitimu mafunzo yao na tayari kwa kuanza kazi. Wengine katika
picha ni Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet (mwenye
vazi jeupe) na mwasibu mkuu wa fastjet, Evelyn Mtenga (Kushoto).
Meneja
mkuu wa shirika la ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati
(katikati), Meneja wa wahudumu wa ndege ya Fastjet Eugene Dadet (kulia)
na baadhi ya wahudumu wa ndege hiyo wakikata keki kwa pamoja siku ambayo
wahudumu hao wa ndege walipohitimu mafunzo yao.
Meneja
Mkuu wa shirika la ndege la Fastjet, Jimmy Kibati, (watatu kushoto)
kwenye picha ya pamoja na Mshauri kibiashara wa Fastjet Ian Petrie
(kulia), Rubani Mkuu wa fastjet, Derrick Luembe (wapili kulia), mwasibu
mkuu wa fastjet, Evelyn Mtenga (Kushoto) na muhudumu wa ndege hiyo,
Khadija Saleh Kasim (wapili kushoto).
Meneje
Mkuu wa shirika la ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati
(kushoto) akimkabidhi muhudumu wa ndege hiyo, Khadija Saleh Kasim
(kulia) cheti cha kuhitimu mafunzo ya uhudumu wa ndege.
Meneje
Mkuu wa shirika la ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati
(kushoto) akimkabidhi muhudumu wa ndege hiyo Geofrey Brian (kulia)
cheti cha kuhitimu mafunzo ya uhudumu wa ndege.
Baadhi ya wahudumu wa ndege ya Fastjet waliohitimu mafunzo yao kwenye picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment