Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Uwekezaji wa Ziwa
Tanganyika, lililofanyika jana Sept 9, 2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika
Mjini Kigoma. (Picha na OMR).
Mwakilishi wa Umoja wa wafanyabishara wa Burundi, akizungumza.
Waziri
wa Nchi- Uwekezaji na Uwezeshaji, Eng. Christopher Chiza, akizungumza
kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais Dkt. Bilal ili
kufungua Kongamano hilo.
Sehemu
ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal,
alipokuwa akihutubia kwenye ufunguzi wa Kongamano hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia moja ya jiwe lenye Madini huku akipata maelezo kutoka kwa
Mkurugenzi wa Kampuni ya Aifola Investiment Co. Ltd, Zubery Mabie,
kuhusu upatikanaji wa madini na utengenezaji wa Unga wa ‘Lime Powder’,
wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho kwenye ufunguzi
wa Kongamano la Uwekezaji wa Ziwa Tanganyika, lililofanyika jana Sept 9,
2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini Kigoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Samaki wa
Mapambo, Nunu Mrisho, kuhusu upatikanaji wa Samaki hao na soko lake ,
wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho kwenye ufunguzi
wa Kongamano la Uwekezaji wa Ziwa Tanganyika, lililofanyika jana Sept 9,
2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini Kigoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Balozi
waliohudhuria Kongamano hilo baada ya ufunguzi, uliofanyika jana Sept 9,
2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Makatibu Wakuu
waliohudhuria Kongamano hilo baada ya ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Viongozi wa
Halmashauri wa Wilaya za Mkoa wa Kigoma waliohudhuria Kongamano hilo
baada ya ufunguzi, uliofanyika jana Sept 9, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na Kamati ya Ulinzi
na Usalama wa Mkoa wa Kigoma waliohudhuria Kongamano hilo baada ya
ufunguzi, uliofanyika jana Sept 9, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na baadhi ya
washiriki wa Kongamano hilo waliohudhuria Kongamano hilo baada ya
ufunguzi, uliofanyika jana Sept 9, 2015. (Picha na OMR).
No comments:
Post a Comment