Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama
Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na
Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu uzinduzi wa
Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba
25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha…
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama
Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na
Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu uzinduzi wa
Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba
25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi
ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha
hilo. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa
Tamasha la Krismas na Pasaka, Alex Msama.
Mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.
No comments:
Post a Comment