Mgombea urais wa Tanzania kupitia
CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi
katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia
CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza
kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,
jijini Mbeya.…
Mgombea urais wa Tanzania kupitia
CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi
katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia
CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza
kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,
jijini Mbeya.
Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwa na watoto kwenye gari alipomaliza
kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe,
jijini Mbeya.
Msanii wa Muziki wa kizazi kjipya Matonya akitumbuiza wakati wa mkutano.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, ambaye pia ni Mgombea ubunge Jimbo la Kyela kupitia CCM, Dk.
Harrison Mwakyembe akihutubia katika mkutano wa kampeni wa kumnadi
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli kwenye Uwanja
wa Ruanda Nzovwe, ambapo alilipua tena sakata la Richmond.
Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni kwenye
Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya.
Dk Magufuli akiwa na mtoto baada ya kujinadi Tukuyu , wilayani Rungwe.
Wananchi wa Kiwira akikimbilia msafara wa Dk. Magufuli uliokuwa ukielekea Kyala.
Wakazi w3a Kiwira wakishangaa kumuoana Dk Magufuli.
Dk Magufuli akizungumza na wakazi wa Mji wa Kiwira, wilayani Rungwe.
Bodaboda zikiongoza msafara wa Dk Magufuli mjini Kyela, mkoani Mbeya.
Msafara wa Dk Magufuli mjini Kyela.
Dk Magufuli akijadiliana jambo na Dk Mwakyembe.
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa Dk Magufuli kujinadi kwenye Uwanja Mwakangale mjini Kyela.
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Kyela.
Dk Magufuli akimkabidhi Dk Mwakyembe Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,
John Mwakipesile akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwataka
wananchi wa Kyela kumchagua Dk Magufuli na anayegombea ubunge Jimbo la
Kyela, Dk Mwakyembe.
Dk Magufuli akimshukuru Mwakipesile kwa kumpigia debe kwa wananchi ili wampigie kura za urais.
Mgombea ubunge Jimbo la Kyela ,
Dk Mwakyembe akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwaomba wananchi
kumpigia kura Dk Magufuli na yeye.
Wazee wa kimila wa kabila la wanayakyusa wakimkabidhi Dk Magufuli silaha za jadi.
Wananchi wa Tukuyu, wilayani Rungwe wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli ambaye alihuwahutubia pamoja na kujinadi.
Richard Kasesera akitangaza kumuunga mkono mgombea ubunge Jimbo la Rungwe, Sauli Amon.
Richard Kasesera ambaye katika
kinyang'anyiro cha kura za maoni Jimbo la Rungwe alishika nafasi ya
pili akisalimiana na Dk Magufuli baada ya kutangaza kumuunga mkono
katika kampeni Mgombea ubunge wa Jimbo la Rungwe, Sauli Amon.
Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi wilayani Rungwe.
Dk. Mwakyembe akihutubia mjini Tukuyu wakati wa kampeni za Dk Magufuli ambapo aliwapiga vita Mafisadi.
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Tukuyu.
Wagombea ubunge Jimbo la
Busokelo, Atupele Mwakibete na Saul Amon wa Jimbo la Rungwe wakionesha
Ilani za Uchaguzi baada ya kukabidhiwa na Dk Magufuli.
Ni furaha iliyoje kwa mama huyo baada ya kumuona Dk Magufuli.
Dk. Magufuli akipiga picha na baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na CCM walioihama Chadema.
Dk Magufuli akiagana na wananchi wa Rungwe.
Dk Magufuli akiwapungia wananchi huku akiwa na mtoto wa mmoja wa wakazi wa Tukuyu.
Dk Magufuli akimrudisha mtoto.
Msafara wa Dk Magufuli ukiondoka mjini Tukuyu, Rungwe kwenda jijini Mbeya.
Moja ya mabango ya kampeni za urais ya Dk Magufuli na Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassani lililopo jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment