Mgombea ubunge wa Jimbo la
Kigamboni kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile akihutubia mkutano wa
kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzima uliopo Kata ya Vijibweni,
Kigamboni jijini Dar es Salaam jana.
Wananchi wakifurahia alipokuwa akipanda jukwaani mgombe ubunge kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile.…
Mgombea ubunge wa Jimbo la
Kigamboni kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile akihutubia mkutano wa
kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzima uliopo Kata ya Vijibweni,
Kigamboni jijini Dar es Salaam jana.
Wananchi wakifurahia alipokuwa akipanda jukwaani mgombe ubunge kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile.
Wanachama wakimsikiliza kwa makini mgombea.
Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya
Temeke, Yahaya Sikunjema (kulia) akimkabidhi ilani ya chama hicho
mgombea nafasi ya udiwani kupitia chama hicho, Zacharia Mkundi katika
mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Vijibweni jijini Dar es Salaam
jana.
Mwenyekiti CCM Wilaya ya
Temeke, Yahaya Sikunjema (kulia) akimnadi mgombea nafasi ya udiwani
kupitia chama hicho, Zacharia Mkundi katika mkutano wa kampeni
uliofanyika jana Kata ya Vijibweni, Dar es Salaam.
Mkundi akizungumza na wananchi.
Dk. Faustine Ndugulile akisindikizwa na wananchi na wanachama wa CCM.
Mgombea ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia CCM, Dk.Faustine Ndugulile akipanda jukwaani.
Wananchi wakimsikiliza mgombea ubunge kupitia CCM.
No comments:
Post a Comment