| Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Marys Forest Jijini Mbeya.’ |
| Wazazi na walezi. |
| Uongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo. |
| Wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao wakipatiwa zawadi nauongozi wa shule hiyo. |
|
Wazazi
wakitoa pongezi zao kwa watoto wao ambao wamehitimu elimu ya msingi
darasa la saba katika shule hiyo ya kimataifa ya St.Mary’s Forest jijini
Mbeya
|


No comments:
Post a Comment