Afisa
Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty (kushoto),
Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi (kulia) na
Mkurugenzi wa Afb Tanzania, Wayne Stocks wakionyesha bango kama ishara
ya uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala wa Airtel Money
ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya akizungumza wakati wa
uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala wa Airtel Money
ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kulia) ni Mkurugenzi wa Afb Tanzania,
Wayne Stocks, Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi na
Afisa Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty.
Afisa
Mkuu wa Biashara wa Airtel Tanzania, Arindam Chakrabarty akizungumza
wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo kwa mawakala wa Airtel Money
ijulikanayo kama ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kulia) ni Mkurugenzi wa Afb Tanzania,
Wayne Stocks na Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha, Ridhiwan Masudi.
No comments:
Post a Comment