Dar es Salaam.
Umoja wa watendaji wakuu wa kampuni wa CEO RoundTable (CEOrt) umeandaa mdahalo wa kuzungumzia mbio za urais utakaowahusisha viongozi wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba, Dk Willibrod Slaa, Zitto Kabwe na Emmanuel Makaidi, lakini Chadema imesema itakuwa tayari kwa midahalo baada ya mchakato wa ndani kukamilika.

Kauli hiyo ya Chadema inaweza kuwa kikwazo
kingine kwa CEOrt kuendesha midahalo hiyo baada ya wa kwanza uliokuwa
uhusishe makada 10 wa CCM wanaoomba ridhaa ya chama hicho kuwania urais,
kushindwa kufanyika kutokana na viongozi wa sekretarieti kutoa kauli
tofauti siku moja kabla.
Kiongozi wa CEO, Ali Mufuruki
alisema jana kuwa Dk Slaa, Profesa Lipumba, Makaidi na Zitto, ambaye ni
kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo, wamethibitisha kushiriki kwenye mdahalo
huo utakaofanyika kesho kuanzia saa 1:00 jioni jijini Dar es Salaam.
Lakini
Dk Slaa aliiambia Mwananchi jana kuwa Chadema itakuwa tayari kushiriki
kwenye midahalo baada ya kumaliza mchakato wa kupata mgombea wake na
kukamilisha Ilani ya Uchaguzi, mambo ambayo alisema hupitishwa na vikao
vya juu.
“Kamanda, sijui kama ni kongamano au mdahalo:
1. Chadema inaendeshwa kwa katiba, kanuni na taratibu zake. Hadi siku ya
leo taratibu zetu hazijafikia kupata aspirants (watangazania),” alisema
katibu huyo mkuu wa Chadema katika ujumbe wake mfupi wa simu.
“2.
Kama kuna waliopata aspirants, Chadema bado mchakato wetu unaendelea.
3. Midahalo inafanywa kwa msingi wa ilani. Chadema ilani yetu haijafika
bado mbele ya vikao vya maamuzi, yaani Baraza Kuu na Mkutano Mkuu. Hivyo
tukienda mdahalo tutakuwa tunazungumzia ilani ipi?
“Hivyo tuko tayari kwa midahalo yote baada ya mchakato wetu wa ndani kukamilika.”
Mufuruku
alikuwa ametuma taarifa hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na
alipopigiwa simu na Mwananchi, alithibitisha kuwapo kwa mdahalo huo
ambao alisema utaonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni, redio
na intaneti.
Kuhusu ushiriki wa Zitto, ambaye atagombea
ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mufuruki alisema CEOrt imemualika kwa
kuwa ni kiongozi wa chama ambacho kinaweza kusimamisha mgombea wa urais.
“Kushiriki
si lazima uwe unachukua fomu za kugombea urais. Yeye ni kiongozi wa
chama ana mawazo yanayoweza kutoa mchango kwenye mdahalo,” alisema
Mufuruki.
CEOrt imepanga kufanya midahalo kadhaa mwezi
huu na Juni 25 itaendesha mdahalo utakaoshirikisha wagombea kutoka CCM
baada ya kada mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali, kujitokeza kwenye
mdahalo wa kwanza na hivyo kusababisha uahirishwe.
Profesa
Lipumba, ambaye amechukua fomu za kuomba ridhaa ya CUF kupitishwa
kugombea urais kwa mara ya tano iwapo jina lake litapitishwa na Umoja wa
Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliiambia Mwananchi jana kuwa atashiriki
kwenye mdahalo huo, kama ilivyo kwa Makaidi ambaye amepitishwa na NLD
kuwania nafasi hiyo.
NCCR-Mageuzi, Chadema, CUF na NLD
vimepanga kusimamisha mgombea mmoja atakayeungwa mkono na vyama vyote,
lakini kila chama kitalazimika kupata mgombea wake ambaye jina lake
litapelekwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kupitishwa
kabla ya kuteua mmoja ambaye atawakilisha vyama hivyo kwenye Uchaguzi
Mkuu.
ridhaa ya chama hicho kuwania urais, kushindwa kufanyika kutokana na viongozi wa sekretarieti kutoa kauli tofauti siku moja kabla.
Kiongozi wa CEOrt, Ali Mufuruki alisema jana kuwa Dk Slaa, Profesa Lipumba, Makaidi na Zitto, ambaye ni kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo, wamethibitisha kushiriki kwenye mdahalo huo utakaofanyika kesho kuanzia saa 1:00 jioni jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, Dk Slaa aliliambia gazeti hili jana kuwa, Chadema itakuwa tayari kushiriki kwenye midahalo baada ya kumaliza mchakato wa kupata mgombea wake na kukamilisha ilani ya uchaguzi, mambo ambayo alisema hupitishwa na vikao vya juu.
“Kamanda, sijui kama ni kongamano au mdahalo: 1. Chadema inaendeshwa kwa katiba, kanuni na taratibu zake. Hadi siku ya leo taratibu zetu hazijafikia kupata aspirants (watangazania),” alisema katibu huyo mkuu wa Chadema katika ujumbe wake mfupi wa simu.
“2. Kama kuna waliopata aspirants (watiania), Chadema bado mchakato wetu unaendelea. 3. Midahalo inafanywa kwa msingi wa ilani. Chadema ilani yetu haijafika bado mbele ya vikao vya maamuzi, yaani Baraza Kuu na Mkutano Mkuu. Hivyo tukienda mdahalo tutakuwa tunazungumzia ilani ipi?
“Hivyo tuko tayari kwa midahalo yote baada ya mchakato wetu wa ndani kukamilika.”
Mufuruki alikuwa ametuma taarifa hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na alipopigiwa simu na Mwananchi, alithibitisha kuwapo kwa mdahalo huo ambao alisema utaonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni, redio na intaneti.
Kuhusu ushiriki wa Zitto, ambaye atagombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mufuruki alisema CEOrt imemualika kwa kuwa ni kiongozi wa chama ambacho kinaweza kusimamisha mgombea wa urais.
“Kushiriki si lazima uwe unachukua fomu za kugombea urais. Yeye ni kiongozi wa chama ana mawazo yanayoweza kutoa mchango kwenye mdahalo,” alisema Mufuruki.
CEOrt imepanga kufanya midahalo kadhaa mwezi huu na Juni 25 itaendesha mdahalo utakaoshirikisha wagombea kutoka CCM baada ya kada mmoja, Balozi Amina Salum Ali, kujitokeza kwenye mdahalo wa kwanza na hivyo kusababisha uahirishwe.
Profesa Lipumba, ambaye amechukua fomu za kuomba ridhaa ya CUF kupitishwa kugombea urais kwa mara ya tano iwapo jina lake litapitishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliiambia Mwananchi jana kuwa atashiriki kwenye mdahalo huo, kama ilivyo kwa Makaidi ambaye amepitishwa na NLD kuwania nafasi hiyo.
NCCR-Mageuzi, Chadema, CUF na NLD vimepanga kusimamisha mgombea mmoja atakayeungwa mkono na vyama vyote, lakini kila chama kitalazimika kupata mgombea wake ambaye jina lake litapelekwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kupitishwa kabla ya kuteua mmoja ambaye atawakilisha vyama hivyo kwenye Uchaguzi Mkuu.

No comments:
Post a Comment