Mwigizaji Lulu Michael Aanika Siri ya Kutoka Kimapenzi na Walio Mzidi Umri - LEKULE

Breaking

12 May 2015

Mwigizaji Lulu Michael Aanika Siri ya Kutoka Kimapenzi na Walio Mzidi Umri

Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’      na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake.

Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya kawaida, wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi.
 
“Siwezi kuwa na mwanaume ambaye tunalingana kwa sababu atakuwa hana sifa hizo,” alisema Lulu.

No comments: