MGOMO WA MABASI, WASAFIRI MJINI BUKOBA WAKWAMA - LEKULE

Breaking

4 May 2015

MGOMO WA MABASI, WASAFIRI MJINI BUKOBA WAKWAMA


Mabasi katika kituo cha mabasi mjini Bukoba, Kagera yakiwa yameegeshwa kufuatia mgomo wa mabasi nchi nzima uliotekelezwa na madereva wa mabasi hayo.

Abiria wakitahamaki baada ya kuona mabasi hayatembei hivyo kukoswa usafiri wa kuwafikisha sehemu mbalimbali wanakoelekea.

Bajaji zikibeba abiria.

Abiria wakiwa wanasubiri hatma ya safari zao huku jeshi la polisi likiimarisha usalama eneo la kituo cha mabasi yaendayo mikoani hapo mjini Bukoba.

No comments: