MGOMO WA DALADALA DAR WASABABISHA MTAFARUKU WA USAFIRI - LEKULE

Breaking

4 May 2015

MGOMO WA DALADALA DAR WASABABISHA MTAFARUKU WA USAFIRI


Wanafunzi na abiria wakisubiri daladala bila mafanikio maeneo ya Mwenge.

Baadhi ya wananchi wanaotumia barabara ya Mwenge-Posta wakitembea kwenda kwenye shughuli zao.

Hali ilivyoonekana maeneo ya Sinza Afrika-Sana wakati wa mgomo, ambapo hapakuwa na daladala lolote barabarani.

MGOMO wa wafanyakazi wa mabasi yanayotoa huduma jijini Dar es Salaam, leo asubuhi umesababisha mtafaruku mkubwa kwa wakazi wa jiji hili ambapo wengi wao walionekana wakitembea kwa miguu kuelekea kazini na katika shughuli zao mbalimbali.

Mgomo huo ambao unaenda sambamba na usafiri wa mabasi ya abiria nchi nzima, unafuatia ule uliotokea Aprili 11 mwaka huu, ambapo wenye mabasi na wafanyakazi wanataka maridhiano na serikali katika masuala mbalimbali.

No comments: