Sauti Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA, likiandaliwa na Kituo kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7.
Mashabiki walitoa ushirikiano wa kila htua zilizokuwa zikiendelea stejini.
Hapo vijEee....!!
PAMOJA SANA' CEO wa Jembe ni Jembe DR. Sebastian Ndege (wa pili kutoka kulia) akiwa na 'Team Jembe' Dvj Frank (wa kwanza kulia), wengine ni Dvj Chriss Young (wa kwanza kushoto), Dvj David (wa pili kushoto) na G. Sengo (wa tatu kushoto)
No comments:
Post a Comment